Thursday, May 4, 2017

MAN U YAIBAMIZA CELTA VIGO BAO MOJA

    Marcus Rashford amefunga bao pekee wakati Man United ikishinda kwa bao 1-0 dhidi ya Celta Vigo katika mechi yake ya kwanza ya Kombe la Europa. Bao hilo la dakika ya 67 limekuwa kivutio kikubwa kutokana na mkwaju wa adhabu mwanafunzi huyo wa sekondari alioupiga na kufung...

Waziri Mkuu: Majiji Yote Kujengwa Barabara za Kisasa

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ina mkakati wa kufanya Majiji yote nchini yawe na barabara za viwango vya kimataifa na zinazopitika kwa urahisi. “Tumeanza kujenga barabara za kisasa katika jiji la Arusha ambalo ni jiji la utalii, tutakwenda Mwanza na Dar es Salaam kwa kujenga barabara zenye njia za juu (flyovers) zikiwemo za magari na...