Thursday, May 4, 2017

MAN U YAIBAMIZA CELTA VIGO BAO MOJA

 
















 
Marcus Rashford amefunga bao pekee wakati Man United ikishinda kwa bao 1-0 dhidi ya Celta Vigo katika mechi yake ya kwanza ya Kombe la Europa.

Bao hilo la dakika ya 67 limekuwa kivutio kikubwa kutokana na mkwaju wa adhabu mwanafunzi huyo wa sekondari alioupiga na kufunga.

Related Posts:

  • FAIDA YA ASALI ASALI inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee. Kwa mujibu wa tafiti mpya za wataalamu wa madawa lishe na vifaa tiba, … Read More
  • TIKETI ZA VISHINA KUENDELEA KUTUMIKA VPL 2015/16 Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeendelea kujiaibisha baada ya jana kueleza kuwa litatumia tiketi za mfumo wa kizamani za vishina kwenye mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu.Msimu huu wa ligi hiyo … Read More
  • LIST YA MAREFA WATAKAOCHEZESHA VPL WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOMKamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaoz… Read More
  • ZIJUE FAIDA 10 ZA TENDE Katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, tende ndiyo tunda linaloliwa kwa wingi, pengine kuliko tunda lingine. Pamoja na kuwa ni tunda lenye ladha tamu na nzuri mdomoni, lakini kisayansi pia limethibitika kusheheni madini na vi… Read More
  • ZIJUE FAIDA ZA TANGO Mwili wa binadamu ili uweze kuwa katika afya nzuri, unahitaji kuwa na virutubisho vya kutosha. Virutubisho hivi tunavipata katika vyakula, matunda na hata kupitia katika vinywaji mbalimbali tunaweza kupata vitu muhimu kwa a… Read More

0 comments:

Post a Comment