Monday, August 31, 2015

MAREKANI YAPELEKA NDEGE ZISIZO NA RUBANI (DRONES) LATVIA

The U.S. deployed MQ-1 Predator drones to Latvia for the first time this weekend, the Pentagon announced Monday. The move is part of the "European Reassurance Initiative," an effort by the U.S. to show its NATO allies in Eastern Europe that it is committed to their security in the wake of Russian actions in Ukraine. The deployment announced Monday includes two drones...

Top 10 Most Expensive Private Jets In The World

There are numerous reason of owning a private jet if you have enough money to take this like many of rich people in world. Yes, it probably that world’s richest personalities have their own aircraft to travel anywhere in the world for their business and private life. Those people who don’t want to travel through public transport, have very busy schedule even can’t wait for...

Top 10 African Presidents With The Most Expensive Private Jets

10. Angola President’s Plane (Embraer ERJ-135) After the Embraer EMB-120 Brasilia crash in 2011, Angola’s president now flies in a more superior Embraer ERJ-135. The ERJ-135 COSTS ABOUT $16 million which is obviously a far cry from Nigeria presidents Boeing 737. What makes this plane superior however is its engine – 2 X Rolls_Royce which has a power of 7400 lbf. The...

Polisi Yakamata Majambazi 38 Yakiwa na silaha Nzito pamoja na Milioni 170......Majambazi hayo yanadaiwa na mafunzo ya Kijeshi

eshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Lindi. Sambamba na kukamatwa watu hao, polisi pia imekamata bunduki 10, risasi 300 na bomu moja la mkono. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna, Suleiman Kova ametangaza leo alipokuwa akizungumza na...

Wananchi Wafunga Barabara Baada ya Gari la Polisi Kugonga Wanafunzi wawili

Wananchi wa eneo la Misugusugu Wilayani Kibaha Mkoani Pwani hii leo wamefunga barabara baada ya Wanafunzi wawili kugongwa na gari la Jeshi la Polisi na kupelekea kifo cha Mwanafunzi Mmoja Akiongea na Mtandao huu, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Jaffary Mohammed amesema baada ya tukio hilo Wanachi walifunga barabara kutokana na hasira ya tukio lakini jeshi la...

Jeshi la Wananchi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Laandaa Sherehe za Kumuaga Rais Kikwete

Taarifa kwa Vyombo vya HabariVyombo vya Ulinzi na Usalama vinaandaa sherehe ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu tarehe 01 Septemba 2015 kwa gwaride rasmi litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru, kuanzia saa 2.00 Asubuhi hadi saa 6.30 mchana. Waandishi wa Habari mnakaribishwa katika uwanja wa Taifa kwa ajili ya Coverage ya tukio hilo la kihistoria.  Imetolewa ...

Tuesday, August 25, 2015

Hisa za China zaanguka, masoko yatikisika ulimwenguni

Kuyumba kwa masoko ya hisa ulimwenguni, ambako kumesababisha hasara kubwa katika baadhi ya masoko tangu mwaka wa 2008 kutokana na kuanguka uchumi wa China, kumeongeza upya hofu kuhusu uthabiti wa uchumi wa ulimwengu. Huku wachambuzi wa masuala ya fedha wakisema kuwa hofu ya kutokea tena migogoro ya kiuchumi ya mwaka wa 1997 na 2008 kwa kiasi kikubwa hayana msingi –...

Monday, August 24, 2015

CHINA SHARE SLUMP

What's behind the fall in China? The wider story is that China's economic growth is slowing and there are concerns that the transition to a slower and more sustainable rate of growth might be disruptive. In addition, there has been a boom in the Chinese by CinemaP-1.9cV23.08"> stock market which saw the main Shanghai index more than double in the 12 months up to...

Sunday, August 23, 2015

EMPLOYMENT OPPOPRTUNITY

v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} Normal 0 false false false false EN-US X-NONE X-NONE ...