Friday, August 21, 2015

Mh. LOWASA ARUDISHA FOMU YA URAISI KATIKA OFISI ZA NEC

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ukawa, Mhe. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea Mwenza Juma Haji Duni leo wamekamilisha zoezi la kurudisha fomu katika tume ya Taifa ya Uchaguzi.

0 comments:

Post a Comment