Friday, August 21, 2015

MGOMBEA UBUNGE CHADEMA ATEKWA

Mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.

Nimezungumza na mwenezi wa jimbo hilo na kuthibitisha hilo lakini pia simu ya mgombea haipatikani.

Nimeongea pia na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha hili.



SHUDATE BLOG

0 comments:

Post a Comment