Thursday, August 20, 2015

Mabadiliko ya Terehe ya Mitihani ya Marudio na Mitihani Maalum

MABADILIKO YA TAREHE YA MITIHANI YA MARUDIO NA MITIHANI MAALUM (SUPPLEMENTARY/SPECIAL EXAMINATIONS) ILIYOKUWA IFANYIKE TAREHE 24 - 28/08/2015
Chuo Kikuu cha Dodoma kinawatangazia wanafunzi wote wa mwaka wa mwisho wa masomo 2014/2015, ambao hawakufanya mitihani yao ya mwisho ya mihula ya I na II kwa sababu mbalimbali kuwa, wanatakiwa kuja kufanya mitihani husika ( Supplementary/ Special Examinations) tarehe 07- 11/09/2015.
Na wanafunzi wanaoendelea na masomo (Continuing students) ambao pia hawakufanya mitihani yao kwa sababu mbalimbali, watafanya mitihani ya marudio na mitihani maalumu tarehe 2-6/11/2015 kama ilivyotangazwa awali.

Imetolewa na:
Ofisi ya Naibu Makamu mkuu wa Chuo, Taaluma, Utafiti na Ushauri.
CHUO KIKUU CHA DODOMA

0 comments:

Post a Comment