Thursday, August 20, 2015

HALI HALISI YA TEMBO NCHINI

Report ya African wildlife foundation (AWF) inasema kuanzia mwaka 2009-2014 Tanzania imepoteza Tembo 65,721 kati ya 109,051 waliokuwepo.

Hivyo mpaka 2014 tumebaki na tembo 43,330.

Report inasema tembo mmoja anaweza ingiza faida ya dolla million 1.6 kwa utalii.Hivyo kulingana na idadi iliyopotea ni kama tumepoteza dolla billion 105.15.

pia majangili wa ndani upata dolla 2,800 kwa kila pembe ya ndovu inayouzwa.

0 comments:

Post a Comment