Mshambulizi matata wa klabu ya Swansea City Andre Ayew, ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi uliopita, katika ligi kuu ya Uingereza ya Premier
Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Ghana mwenye umri wa miaka 25, amefunga magoli matatu, msimu huku, huku Swansea ikiwa haijapoteza mechi yoyote msimu huu.
Swansea inashikilia nafasi ya nne kwenye msururu wa ligi kuu, ikiwa na alk alama nane, baada ya kucheza mechi nne.
Manchester City ingali kileleni na alama 12 ikifuatwa na Crystal Palace na Leicester zikiwa na alama tisa na nane mtawalia.
SHUDATE BLOG
0 comments:
Post a Comment