Tuesday, September 1, 2015

DR. SLAA ATAONGEA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI MCHANA HUU



Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Dkt. Wilibrod Slaa, leo tarehe 1 Septemba 2015, atavunja ukimya kwa kuongea na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wake na waandishi wa habari. 

Mhe. Dkt ameandaa mkutano huo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, leo kuanzia saa NANE mchana, mkutano ambao utarushwa moja kwa moja na vituo vya televisheni, radio na mitandao ya kijamii vya hapa nchini.

source: Jamii forum

shudate blog

0 comments:

Post a Comment