Tuesday, September 1, 2015

Segun Odegbami ametangaza nia ya uraisi FIFA



Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria Segun Odegbami ametangaza nia ya kuwania kiti cha urais katika chama cha soka duniani FIFA.
Segun mwenye miaka 63 Alitwaa kombe la mataifa ya Afrika mwaka 1980 aikwa mchezaji wa kikosi cha Nigeria Super Eagle.
Anakuwa mwaafrika wa pili kutangaza nia ya kuwania cheo hicho kikubwa katika shirikisho hilo la mpira baada ya Musa Bility, wa Libery kutangaza kuwa atapigania nafasi hiyo.
Uchaguzi wa Fifa unatarajiwa kufanyika Februari 26, 2016, tayari Rais wa chama cha soka cha ulaya Michael Platin ameonyesha nia ya kutaka nafasi hiyo sambamba na Mong-joon wa Korea kusini
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil Zico na David Nakhid toka visiwa vya Trinidad na Tobago nao wameshatangaza nia.
SHUDATE BLOG

Related Posts:

  • WATU WAWILI WAFARIKI KWA AJALI YA GARI MKOANI IRINGA Gari aina ya Toyota Harrier likitolewa eneo la ajali. Wananchi wakishuhudia gari hilo wakati likiondolewa eneo la ajali. Wanausalama wakiwa eneo la ajali. Toyota Harrier likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali hiy… Read More
  • KESI YA KUPINGA SHERIA YA MTANDAO YAANZA RASMI Mchakato wa usikilizwaji wa kesi ya Sheria ya Makosa ya Uhalifu wa Kimtandao umeanza, huku Mahakama Kuu nchini ikiipa Serikali siku 14 kuwasilisha mahakamani hapo majibu yake ya utetezi kuhusiana na kesi hiyo. Kesi hiyo… Read More
  • AJALI YA BASI LA METRO WATU watano wamekufa papo hapo na wengine 39 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Metro, kuacha njia, kutumbukia bondeni na kupinduka. Basi hilo lilikuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Rombo mkoani Kilimanjaro. Mi… Read More
  • JK: Ndoto kuipaisha Kigoma zinatimia RAIS Jakaya Kikwete amesema ndoto yake ya kuuona mkoa wa Kigoma ukileta mabadiliko makubwa ya kiuchumi nchini imeanza kutimia, kutokana na kuanza kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya kiuchumi. Aidha, amewahakikishia wanan… Read More
  • KAZI INAENDELEA VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara na mabingwa watetezi, Yanga, leo watakuwa tena kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania pointi tatu dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya katika mechi ya raundi ya pili ya ligi hiyo. Yang… Read More

0 comments:

Post a Comment