Tuesday, September 15, 2015

VPL LEO INAENDELEA

Image result for VODACOM PREMIER LEAGUE

Ligi Kuu Tanzania bara Itaendelea tena leo katika viwanja saba ikiwa ni michezo ya mzunguko wa pili.
Mabingwa watetezi wa kombe hilo klabu ya Young Africans watakuwa wenyeji wa Tanzania Prisons katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam,
Maafande wa Mgambo Shooting wakiwa wenyeji wa Simba SC katika dimba la uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Wana Lizombe Majimaji ya mjini Songea watawakaribisha wakata miwa wa Kagera Sugar katika uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.
jijini Mbeya watoza kodi wa jiji timu ya Mbeya City watawakaribisha maafande wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Ruvu katika uwanja wa Sokoine.
Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, Stand United watakuwa wenyeji wa timu ya Azam FC, Toto Africans watawakaribisha wakata miwa wa Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa CCM Kirumba na Ndanda FC watakuwa wenyeji wa Coastal Union kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona.
SHUDATE BLOG

Related Posts:

  • Mafuriko Nyumba ya Mungu yasomba ekari 20 ZAIDI ya ekari 20 za mazao ya aina mbalimbali, ikiwamo vitunguu na mahindi pamoja na nyumba ambazo idadi yake haijulikani katika vijiji vya Jitengeni na Mvungwe wilayani Same, zimeharibiwa na mafuriko kutoka bwawa la Nyumb… Read More
  • Ghasia zaendelea kwenye eneo la Msikiti wa Al-Aqsa Leo ni siku ya tatu tangu mapambano yaanze baina ya polisi na Waislamu kwenye eneo la msikiti wa Al-Aqsa Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya Rais, Bwana Erdogan amemwambia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Ban Ki-moon kwa … Read More
  • VPL LEO INAENDELEA Ligi Kuu Tanzania bara Itaendelea tena leo katika viwanja saba ikiwa ni michezo ya mzunguko wa pili. Mabingwa watetezi wa kombe hilo klabu ya Young Africans watakuwa wenyeji wa Tanzania Prisons katika uwanja wa Taifa jijin… Read More
  • Merkel aitisha mkutano kujadili mgogoro wa wakimbizi Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameitisha mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya wiki ijayo kuhusu mgogoro wa wakimbizi, akisema suluhu ya pamoja inahitajika ili kukabiliana na mgogoro huo uliyougawa Umoja wa Ulaya. Kansel… Read More
  • JK: Ndoto kuipaisha Kigoma zinatimia RAIS Jakaya Kikwete amesema ndoto yake ya kuuona mkoa wa Kigoma ukileta mabadiliko makubwa ya kiuchumi nchini imeanza kutimia, kutokana na kuanza kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya kiuchumi. Aidha, amewahakikishia wanan… Read More

0 comments:

Post a Comment