Tuesday, September 1, 2015

TAIFA STARS KURUDI NYUMBANI LEO KUTOKA UTURUKI



Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kurejea leo usiku kutoka nchi Uturuki ilikokua imeweka kambi. Taifa Stars iliweka kambi ya wiki moja kujifua na mchezo wake dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria hapo Septemba 5, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika mwaka 2017.
Kocha Mkuu wa Stars Charles Mkwasa akiongea na tovuti rasmi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) anasema kambi imekwenda vizuri na wachezaji wanaonyesha mabadiliko makubwa sana.
Mara baada ya kuwasili timu itaendelea na kambi kwa kufanya mazoezi mepesi siku ya jumatano pamoja wa wachezaji wa kimataifa Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu na Mrisho Ngasa katika uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa siku ya jumamosi dhidi ya Nigeria.
 shudate blog

Related Posts:

  • Iran yarejea katika jumuiya ya kimataifa baada ya kutengwa kwa muda mrefu Mkataba baina ya Iran na mataifa makubwa sita umeanza kutekelezwa baada ya shirika la kudhibiti matumizi ya nyuklia duniani IAEA kuthibitisha kwamba Iran imezitimiza dhima zake juu ya mkataba huo Waziri wa mambo ya nj… Read More
  • Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL Nambari Klabu Mechi Mabao Alama 1 Arsenal 22 16 44 2 Leicester 22 13 44 3 Man City 22 22 43 4 Tottenham 22 20 39 5 Man Utd 22 8 37 6 West Ham 22 8 35 7 Stoke 22 2 33 8 Crystal Palace 22 -1 31 9 Liverp… Read More
  • LIST OF 10 MOST CORRUPT COUNTRY IN AFRICA Transparency International (TI) just released the Global Corruption Barometer 2014, which ranks countries according to perception of corruption levels. In this year’s report TI surveyed people in 54 African countries. H… Read More
  • Rouhani apongeza makubaliano ya nyuklia Rais Hassan Rouhani amesema Jumapili (17.01.2016) wale waliokuwa na mashaka ambao walionya makubaliano ya nyuklia na mataifa yenye nguvu hayatokuwa na manufaa kwa Iran "wote wamethibitishiwa kuwa walikuwa sio sahihi. … Read More
  • UDOM - IMPORTANT NOTICE TO STUDENTS 21/09/2015 IMPORTANT NOTICE TO STUDENTS PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS: ALL STUDENTS ARE REQUIRED TO PAY TUITION FEES AND DIRECT COSTS FOR ACADEMIC YEAR 2015/2016 BY 30TH OCTOBER 2015.  STUDENTS … Read More

0 comments:

Post a Comment