Monday, September 7, 2015

Maelfu ya Wahamiaji wanajaribu kuingia bara Ulaya.



Huku Umoja wa Ulaya ukiangalia uwezekano wa kuwashughulikia wale ambao tayari wapo huko.
Shirika la Umoja wa Mataifa la huduma kwa Wakimbizi limeanza kuwasaidia maafisa wa Ugiriki kuwapokea idadi kubwa ya wahamiaji wapya wanaowasili katika kisiwa cha Lesbos.
nchini Hungary nako, mamia ya wahamiaji walipita kwenye mistari ya polisi kwa nguvu na kuvuka mpaka wa kuingia Serbia.
Wito wa Ufaransa na Ujerumani wa kuwekwa kwa mifumo ya kisheria ya kugawana wakimbizi baina ya wanachama wa Muungano wa Ulaya umepingwa na serikali kadhaa.
 SHUDATE BLOG

Related Posts:

  • KOMBE LA FA LITATIMUA VUMBI RASMI HIVI KARIBUNI SASA ni rasmi kuwa Kombe la Shirikisho zamani FA linarejea msimu huu baada ya Kampuni ya Azam Media Limited kusaini mkataba wa miaka minne na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kudhamini michuano hiyo kwa mkataba wenye tham… Read More
  • EMPLOYMENT OPPORTUNITY 1. MEDICAL OFFICER II (5 POSITIONS) Reports to : Head of Firm Duties and Responsibilities • To perform Medical duties in Obstetrics and Gynaecology, Surgery,Anaesthesia Medicine, Paediatrics, Preventive Medicine and … Read More
  • Mlipuko mkubwa watokea Yola, AdamawaImage copyrightAPImage captionMaafisa wa shirika la msalaba mwekundu Yola Mlipuko mkubwa umetokea katika kambi moja ya wakimbizi wa ndani, mjini Yola, mji mkuu wa Jimbo la Kaskazini Mashariki la Adamawa. Mashirika ya kutoa m… Read More
  • WANAJESHI WA CAMEROON WASITISHA MGOMO Wanajeshi wa Cameroon, ambao wamekuwa kwenye mgomo baridi, kulalamikia kutolipwa mishahara yao, baada ya kuhudumu katika kikosi cha Umoja wa Mataifa, katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati, wamesitisha mgomo. Image copyrightAFPIm… Read More
  • Ayew mechazaji bora Uingereza Mshambulizi matata wa klabu ya Swansea City Andre Ayew, ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi uliopita, katika ligi kuu ya Uingereza ya Premier Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Ghana mwenye umri wa miaka 25, amefunga mago… Read More

0 comments:

Post a Comment