Wednesday, September 16, 2015

UDOM--TARATIBU ZA UJAZAJI WA FOMU YA BIMA YA AFYA


Image result for udom
Wanafunziwa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mna taarifiwa kwamba kuanzia mwaka huu wamasomo (2015/2016), mtawajibika kuchangia katika Mfuko wa bima ya afya ya taifa(NHIF). Wanao paswa kulipia ni wale wote wasio kuwa na kadi za bima ya    afya ya taifa (NHIF).
Watakao jaza fomu ni wale watakao lipia tu.
Fedha zote (Tsh, 50,400/=) zilipwe kwenye NMB Akaunti namba 20101100115Unapoweka fedha hizo NMB benki hakikisha umeainisha vitu vifuatavyo.
1.                  Majina yako sahihi (kama ilivyo kwenye kitambulisho cha chuo),
2.                  Kozi unayo soma (eg. BED Com.)na
3.                  Namba ya usajili eg. T/UDOM/…./….
NB:  Deposit  Slip isiyo kuwa na maelezo stahiki (kama ilivyo kwenye namba 1 mpaka 3 hapo juu) haita pokelewa, na Mfuko wa bima ya afya ya taifa, hivyo huta pata kitambulisho.
Shilingi 49,600/=zita lipwa katika Account ya Chuo Kikuu cha Dodoma kama itakavyo elekezwa nauongozi wa UDOM.
Kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo (mwaka wa pilimwaka watatumwaka wanne). Wajaze Fomu iliyopo kwenye mtandao na kuituma ofisi za Bima ya afya Dodoma mapema iwezekanavyo  Kabla ya tarehe 10,Oktoba 2015.
Fomu hiyo inaweza kutumwa Kwa njia ya posta
MENEJA WAMKOA
OFISI YA BIMA YA AFYA DODOMA
S.L.P 2221
DODOMA.
Pia fomu hiyo inaweza kutumwa Kwa njia ya barua pepe .Tuma kwenye Email This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.">infododoma@nhif.or.tz. Scan vizuri fomu iliyo jazwa kikamilifu halafu itum ekwenye Email tajwa hapo juu.
Fomu halisi na deposit slip uta viwasilisha kwa Afisa wa Bima ya Afya mara ufikapo Chuoni na kupatiwa kitambulisho chako.
NB: Unapo tuma Fomu usitume na Deposit Slip (Original). 
Nakala ya fomu na deposit slip utazi wasilisha kwa Afisa wa Bima ya Afya mara ufikapo Chuoni.
http://www.udom.ac.tz/images/nhif.jpeg


FOR MORE INFORMATION VISIT UDOM WEBSITE

SHUDATE BLOG

0 comments:

Post a Comment